Mungu Mwenye Ishara (God of Signs) English Translation Lyrics by Boaz Danken


Boaz Danken – Mungu Mwenye Ishara Lyrics

(Sung in Swahili)

Mungu mwenye ishara na maajabu (God of Signs and Wonders)
Twakuinua Mfalme wa wafalme (We lift You King of kings)
Umetamalaki duniani kote (You have reigned over all the earth)
Twakuinua Mfalme wa wafalme (We lift You King of kings) (Refrain)

Ulimwonyesha Musa njia zako (You revealed Your paths to Moses)
Wana Isiraeli matendo yako (The children of Israel Your works)
Ulimpiga Farao kwa mapigo ngumu (You soundly defeated the Pharaoh)
Ukawaokoa watoto wako (You rescued Your children)

Habari zimeenea, madui watetemeka (The word has spread, and the enemies tremble)
Twakuinua Mfalme wa wafalme (We lift You King of kings)
Waliokombolewa wanashangilia (The saved ones rejoice)
Twakuinua Mfalme wa wafalme (We lift You King of kings)

(Refrain)

Imela Chineke Imela
Oh Imela Chineke Imela

Igwe, igwe, igwe!
Oh Igwe, igwe, igwe!

Siyabonga Nkosi, Siyabonga
Oh, Siyabonga Nkosi, Siyabonga

Thank You! Thank You!
Oh, Thank You Jesus Thank You

Ahsante, Yesu ahsante
Oh, Ahsante Yesu ahsante

Boaz Danken – Mungu Mwenye Ishara Video

Download Video (mp4/3gp)

Check:  CONSUMING FIRE LYRICS BY TODD DULANEY