Mshindi (Victorious) Lyrics by Bella Kombo


Bella Kombo – Mshindi (Victorious) Lyrics

(Sung in Swahili)

Amka, amka jivike nguvu (Awake and dress in power)

Eh Sayuni mtumishi wangu (Oh Zion, my servant)

Nimekuita kwa jina lako (For I have called you by your name)

Utimize kusudi langu (To complete my will)

Kuwafungua waliofungwa (To release the bound)

Na mateka uhuru wao (And the hostages, their freedom)

“Ndio Bwana, nitaenda (“Yes Lord, I shall go)

Ndio Bwana, nitafanya” (Yes Lord, I shall do it)

Naujua wito wangu, kusudi lako (I know my calling and your will)

Nilitimize (To be done)

Sitikiswi, na majaribu (I am not shaken by trials)

Alieanzisha atamaliza (He who began the work will perfect it)

(Repeat)

Nijapopita kwenye bonde, kwenye maji mengi

(Though I pass through the valley, through many waters)

Naimarika kwa nguvu zako, yanijenga imani

(I am uplifted by Your Strength, it builds my faith)

Hutaniasha mpaka nifike (You will never leave me until I arrive)

Hutanicha niabike (You will not let me be ashamed)

Kwenye giza, ukafanyika mwanga (In darkness, You are light)

Baharini, ukafanyika njia (You made a way through the sea)

Na yule tubu ukanipa ushindi (And the one who confessed, You gave me victory)

Na kwenye mapango ya simba, nikatoka salama

(And from the lions’ cave, I emerged safe)

Na jangwani, ukafanya kisima (In the desert, you created a well)

Kile kisima, kisima cha uzima (The well, the well of life)

Na milango ya gereza ikafunguka (The doors of the jails were opened)

Nami nikawa huru, huru kwelikweli (And I became free, free indeed)

Naliona haki yangu (I see my justice)

Utukufu, jina jipya (Holiness and a new Name)

Mi mshindi, Mi mshindi, Mi mshindi! Daima (I victorious forever)

(Repeat)

Bridge:

Waliyoshindana nawe, wataaibika

(Those who fought you will be ashamed)

Wanioshindana nawe, wataanguka mbele yako

(Those who fought you, will fall before you)

Asema Bwana (Says the Lord) x3

Naliona haki yangu (I see my justice)

Utukufu, jina jipya (Holiness and a new Name)

Mi mshindi, Mi mshindi, Mi mshindi! Daima (I victorious forever)

(Repeat)

Mimi ni mshindi, ni mshindi (I am victorious)

Mi mshindi, Mi mshindi (I am victorious, victorious)

Mi mshindi daima (I victorious forever)

Bella Kombo – Mshindi (Victorious) mp3,Bella Kombo – Mshindi (Victorious) video,Bella Kombo – Mshindi (Victorious) album,Bella Kombo – Mshindi (Victorious) remix free audio music download Bella Kombo – Mshindi (Victorious)