CCM Lyrics by Harmonize


 Harmonize – CCM Lyrics

Hii hapa sauti ya Konde Boy mjeshi

Konde Boy

Waambieni wapinzani wanajisumbua

CCM chama chetu tumekichagua

Waambieni wapinzani wanajisumbua

CCM chama chetu tumekichagua

Uongozi sio jambo rahisi

Unataka watu majasiri

Wamekazania ubishi

Kazi kupinga vilivyo dhahiri

Kazi zote za Magufuli eti hawazioni

Elimu na barabara nzuri nazo hawazioni

Utekelezaji wa CCM eti hawauoni

Umeme maji kila sehemu flyover hawazioni

Ndege zilivyojazana nazo hawazioni

Ajira kwa vijana nazo hawazioni

Eee Magufuli tembo, tembo wa CCM

Dr Halisheni tembo, tembo wa CCM

Philip Mangula tembo, tembo wa CCM

Mama Samia Tembo, tembo wa CCM

Utapata simu majaliwa tembo, tembo wa CCM

Mashiruali tembo, tembo wa CCM

We pole pole tembo, tembo wa CCM

Konde boy tembo, tembo wa CCM

Twende piga makofi, piga makofi

CCM piga makofi, piga makofi

Twende vidaileki, vidaileki

zungusha vidaileki, vidaileki

mp3 Harmonize – CCM, video,Harmonize – CCM album,Harmonize – CCM remix free audio Harmonize – CCM music download

Check:  Wizkid - Baba Nla lyrics