Verse 1
Naja mbele zako mungu wangu, Nikiwa nazo heshima zote,
Ninakiri yale uyatendayo, Hakika wewe ni mwema
(Repeat)
Muweza yote…
Chorus
Wewe ni mwema… Haufananishwi, wewe ni mwema baba x2
Verse 2
Wewe ndiwe baba… wa mataifaa, unatenda mambo yaajabu,
Ninakiri yale uyatendayo, Hakika wewe ni mwema.
(Reapeat)
Chorus
Wewe ni mwema… Haufananishwi, wewe ni mwema baba (Repeat)