Ben Pol – Ebenezer Lyrics


Mmmmh, yeah

Aah, mashuhuri kwa hakika

Najongea kukupa sifa

Wimbo wako wa taifa

Na ndo maana mimi sichoki kukuimba

Mimi ni nani hata nichoke, choke

Sana nataka si tuwe wote, wote

Mimi ni nani hata nizubae, zubae

Ushindi lazima nikiwa nawe

Haa aah

unanikosha unanivuta,

Haa aah

unaniita umejificha,

Haa aah

unanikosha unanivuta,

Haa aah

Nimeshafikaa

[Chorus]

Ebenezer, Ebenezer, Ooooouw Ebenezer,,Ebenezer, heeeey Ebenezer

Ebenezer, Ooooouw Ebenezer,,Ebenezer, heeeey Ebenezer

[Verse Two]

Asubuhi vile jua likiwaka

Natambua ni nafasi umenipa

Sio nadeekaa

sitaki kabisa kuchomoka

Aaah wewe hukawii unayejibu kwa wakati

Aaah nakupenda ndii nikiwa nawe sishikiki

wewe hukawii unayejibu kwa wakati yoo

nakupenda ndii haaaaaa

Haa aah

unanikosha unanivuta,

Haa aah

unaniita umejificha,

Haa aah

unanikosha unanivuta,

Haa aah

Nimeshafikaa

[Chorus]

Ebenezer, Ebenezer, Ooooouw Ebenezer,,Ebenezer, heeeey Ebenezer

Ebenezer, Ooooouw Ebenezer,,Ebenezer, heeeey Ebenezer

[Verse Three]

Jabali hodari, wewe ngome imara

Safari sikwami, dereva mambo sawa

Jabali hodari, wewe ngome imara

Safari sikwami, dereva mambo sawa

Jabali hodari, wewe ngome imara

Safari sikwami, dereva mambo sawa

Jabali hodari, wewe ngome imara

Safari sikwami, dereva mambo sawa

Haa aah

Wewe ngome imara

Haa aah

Dereva mambo sawa, unaniita

Haa aah

Wewe ngome imara

Haa aah

Dereva mambo sawa

[Chorus]

Ebenezer, Ebenezer, Ooooouw Ebenezer,,Ebenezer, heeeey Ebenezer

Ebenezer, Ooooouw Ebenezer,,Ebenezer, heeeey Ebenezer