HARMONIZE – Africa Moja Lyrics


Africa Moja By HARMONIZE

Tanzania na Congo

Konde Boy na Rice

Mmmh Konde Boy!

Ninatamani siku zirudi nyuma

Na nizuie moyo kukupenda

Binadamu gani huna hata huruma

Kisa sina umeniacha na ukaenda

Kosa la moyo wangu

Kukupenda kwa dhati

Nikataka uwe wangu

Na nikaapa sikuachi

Utu na wema wangu

Eti leo hunitaki

I wapi dhamani yangu

Ama sina dhamani

Chalanga cho, chalanga cho

Nalidusu

Chalanga cho, chalanga cho

Nalidusu

[L Rice]

—-

—-

Chalanga cho, chalanga cho

Nalidusu

Chalanga cho, chalanga cho

Nalidusu

Natamani nikuone japo mara moja

Mara moja, mara moja

Kisa umasikini umenikimbia

Umefuata wenye nazo tena bila haya

Africa Moja, Africa moja

Africa Moja, Africa moja

(Oh my God is Better Sound)

Check:  Alaska Lyrics – Brockhampton