Tegemeo (Support) Lyrics by Kaki Mwihaki(Sung in Swahili)

Usikae mbali nami Bwana (Do not stay away from me Lord)
Hawa adui wamepanga njama (For my enemies plan against me)
Wanasema, “Mungu amemuacha (Saying “God has abandoned him/her)
Mfateni, mkatameni, hakuna wa kumuokoa”
(Follow her, detain her, for there is no on that can rescue her”)

Refrain:
We ni tegemeo langu (You are my Support)
We ni usalama langu (You are my Refuge)
Baba usiniache niaibike (Father do not let me be ashamed)
Nifiche, niokoe (Hide me, and save me)
We ni tegemeo langu (You are my support)
We ni usalama langu (You are my safe place)
Tegemeo langu, tegemeo langu (My pillar, my support)

Uhimidiwe, Bwana wa mabwana (Be praised, Lord of lords)
Neno lako halo hili Baba ni la ukweli (For Your Word, Father is the truth)
Mfalme wa wafalme (King of kings)
Nayaamini, yote usemayo (I believe all that You say)
Neno lako hili Baba ni la kweli (For Your word Father, is the Truth)
Mfalme wa wafalme (King of kings) (Repeat)

(Refrain)

Oh we o…

Tegemeo, we ni tegemo langu (My pillar, You are my support)
Tegemeo, we ni tegemo langu (My pillar, You are my support)
Usiniache niabike (Do not let me be ashamed)
Nifiche, niokoe (Hide me, and save me)
Tegemeo, we ni tegemo langu (My pillar, You are my support)
Tegemeo, we ni tegemo langu(My pillar, You are my support)

(Refrain)