Nitakushukuru (I Will Give Thanks) Lyrics by David Kasika ft. Twakutukuza Choir



(Sung in Swahili)

Nitakushukuru namna gani we? (How will I give thanks to You?)
Nitakushukuru namna gani we? (How will I give thanks to You?)
Nitakushukuru namna gani we, Baba? (Father, how will I give thanks to You?)
Baba, Oh weh, oh weh, namna gani? (Father, Oh weh, oh weh, how?)

Kama ni uzima, umenipa kwa bure (If it life, You gave me for free)
Kama ni ulinzi, umenipa kwa bure (If it protection, You gave to me freely)
Kama ndiyo pumzi, umenipa kwa bure (If it breath, You gave to me freely)
Oh weh, oh weh, namna gani weh (Oh weh, oh weh, how?)

Maisha yangu yote, mikononi mwako Mungu we (All my life is in Your hands, God)
Uzima wangu wote, mikononi mwako, Masiya (All my salvation is in Your hands, Savior)
Kushoto na kulia, uko na mimi, Yahweh (Left and right, You are with me Lord)
Oh weh, oh weh, namna gani weh (Oh weh, oh weh, how?)

Nikienda shambani, mkono wako uko na mimi (When I go to farm, Your hands is with me)
Nikienda shuleni, mkono wako uko na mimi (When I go to school, Your hands are with me)
Kaskazini, mashariki, kusini na magharibi yahwe (North, east, south and west, Lord)
Oh weh, oh weh, namna gani, weh (Oh weh, oh weh, how?)

Nitakushukuru namna gani we Baba eh? (How will I thank You Father?)
Nitakushukuru namna gani we Baba eh? (How will I thank You Father?)
Nitakushukuru namna gani we Baba eh? (How will I thank You Father?)
Baba, Oh weh, oh weh, namna gani (Father, oh weh, oh weh, how?)

Check:  Sleigh Bells – Favorite Transgressions Lyrics

Baba namna gani, weh? (Father, How?)
Baba namna gani, weh? (Father, How?)
Baba namna gani, weh? (Father, How?)
Oh weh, oh weh, namna gani, weh
(Oh weh, oh weh, how?) (Repeat)